Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Tumia mstari wa mada ya barua pepe kufungua ujumbe wako

Kama unataka watu wafungue na kusoma barua zako pepe, unastahili kufanya bidii kujenga imani na kuwatolea watu sababu ya kusoma, kama watu hawafikirii kwamba unatuma ujumbe uliosaswa au uliochujwa na kuamini kwamba una habari watakayoitumia watafungwa jumbe zako. Mahali pazuri pa kuwa mstari wa mada tumia vidokezo hivi ili kuanza:

  • Fikiria kuhusu mstari wa mada yako kama makala ya gazeti la jarida, Teka mawazo ya msomaji.
  • Tazama mada kwenye televisheni na kwenye majarida na magazeti ili kupata mawazo.Kama unaona kitu unachokipenda, kiandike na ukieke na utafute namna ya kukitumia kuwasiliana katika biashara yako.
  • Kuwa na hamu ya msomaji mawazoni mwako, kama utajitolea kuwasaidia kuafikia matakwa yao huenda wakafungua ujumbe wako.
  • Uliza swali, toa “jinsi ya kushauri”, kutangaza baadhi ya habari za kufurahisha au kuunganisha barua yako pepe kwa matukio ya sasa yaliyo ya muhimu kwa msomaji wako.weka shilingi 500 kwa likizo yako ijayo au “u tayari kwa mabadiliko kwenye sheria za shuru?” ni mifano mizuri.
  • Angazia manufaa kwa msomaji, ila sio bidhaa wala huduma yako.
  • Tumia neno “wewe” inavyohitajika. Haya ndio baadhi ya maneno yenye nguvu unayoweza kutumia.
  • Kuwa maalumu na moja kwa moja inapowezekana kama unataka kuepuka jumbe zisizo nzuri, usitumie vishangao, herufi kubwa zote, jina la mpekuzi, na maelezo ya jumla kama”Hi”
  • Unda dhana ya haraka ili kumfanya msomaji ajue ujumbe wako, kama muda mchache wa toleo.
  • Hakiki mstari wako wa mada na ujumbe kabla ya kutuma makosa ya hijai nay ale ya uchapishaji huharibu sifa yako.

 

0
No votes yet
Your rating: None