Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Orodha ya kupima/kukagulia ya matangazo

Unapotoa tangazo, unahitajika kuzingatia mwongozo. La sivyo, itakuwa ni habari mbaya kwa biashara yako.

Sema ukweli
Lazima utimize ahadi ulizotoa. Matangazo ya udanganyifu yanaweza kukufanya upoteze wateja na hata biashara yako.

Fanya ulinganisho huru.
Kama unafananisha bidhaa yako kwa nyingine, hakikisha ni huru na wazi. Je, bidhaa zote zinaafikia mahitaji sawa? Zina bei sawa?

Hakikisha wateja wako wametumia hati yako ya pesa
Je, jina la biashara yako na anwani vinaonekana kwenye hati ya pesa? Je, kuna muda wa kuisha mutumizi (kuchina)?
Je, wateja wako watumia hati yako ya pesa wanapoipata?

Kuwa mwaminifu kwa bei ya bidhaa au huduma yako
Je unatoa bidhaa au huduma ya bure/bila malipo?
Je, inategemea ununuzi wa bidhaa nyingine iliyonunuliwa? Kuwa wazi na utazame mbali.

0
No votes yet
Your rating: None