Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

 • Kidokezo: unda kalenda ya mauzo

Kidokezo: unda kalenda ya mauzo

Tumia kalenda kukumbuka miadi ya daktari, mikutano ya kibiashara, na shughuli madhubuti. Shughuli zako za mauzo ni muhimu kwa biashara yako. Kwa hivyo hifadhi kalenda ili uwe katika hali ya kufuatilia. Hivi ndivyo ilivyo.

Kwanza, jiulize maswali yafuatayo

 • Ni biashara gani ninayoitaka kuanza miezi mitatau ijayo?
 • Ni biashara gani ninayotaka kuanza miezi sita ijayo?
 • Ni biashara gani ninayotaka kuanza mwaka ujao?
 • Ni lini kila shughuli niliyoitaja itamalizika?
 • Ni muda upi nitakaohitaji kutimiza malengo haya?
 • Ni hatua zipi nitakazozichukua kila wiki ili kuhakikisha kuwa maoni/kauli zangu zimetekelezwa?
 • Ni vipi nitafuatilia matokeo ya juhudi zangu?

Baadaye unda kalenda ukitumia maelezo haya:

 • Uliza kuhusu matukio na nafasi
  Jikadiri: ni wapi utakapokuwa ili kuwapata watu watakaokusaidia kutimiza malengo yako? Maonyesho ya biashara, mawasiliano katika sherehe ya chakula cha jioni (chajio), na masoko ya mitaa, ni baadhi ya sehemu ya matukio. Uliza yanapotendeka, yaweke kwenye kalenda na uende na vitu/toleo utakazotumia maonyeshoni mkononi.
 • Zipe shughuli zako makataa (tarehe ya mwisho)
  Weke makataa katika shughuli za kibiashara ulizotambua kwenye mpango wa mauzo. Weka makataa hayo kwenye kalenda. Fanya kuenda nyuma kutoka kwenye makataa na ujaze kazi zote unazotaka mikono ya mteja kufikia Novemba 20. Weka makataa kwa kutengeneza orodha ya matangazo, kutengeneza na kuchapisha kadi, kutia kadi sahihi na muhuri, na kuzisambaza. Usisahau kuadhimisha sherehe ya yale uliyoyatimiza kwa kujitunza mwenyewe pamoja na wafanyikazi wako ili kufikia tarehe zako ulizopendekeza
0
No votes yet
Your rating: None