Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Mfano : Mauzo ya ridhaa / Kibali

Mauzo ya kibali huchukua biashara kwa maelekezo hadi kiwango kipya. Mwulize mteja aliyeridhika atume barua ya maeloekezo kwa njia zako za mawasiliano. Wateja wako watazamiwa wanaoridhika watafurahi. Kama unaweza kupata wateja kukusimamia katika kampuni za mauzo ya ridhaa, utaonekana kama mmoja aliye na uhusiano mkubwa na wateja na huduma au bidhaa. Hapa kuna mwongozo wa hatua baada ya hatua kuhusu namna ya kutengeneza mpango wa ridhaa ya biashara.

 1. Mchague mmoja wa wanunuzi/ wateja wako.
  Fulani alionyesha furaha kwa biashara yako ni changuo bora.
 2. Tayarisha barua kwa mteja wako. Kuwatumia unaowatazamia.
  Barua hiyo lazima itaje uzuri wa mteja huyo unayefanya kazi naye. Hoja zipangwe kwa njia ya kusomeka hata kwa kutumia alama fulani kwa ithibati , hati ya pesa na kipunguzo , piga simu.
 3. Mwulize mteja wako kama anaweza kukutilia barua yako ya kibali au uiweke katika sehemu yake ya juu ya barua yake.
  Mwulize kama yu tayari kusaidia kukuza biashara yako kwa kuitia sahihi barua hiyo na kuituma . Jitoleee kuwa na orodha ya watazamiwa wako na wengine pamoja ya yeye kama anataka kuiona .
 4. Kama mnunuzi anakubali, mwonyeshe barua uliyoitayarisha .
  Mwulize mnunuzi wako kutia sahihi kwenye sehemu wazi ya karatasi . Pia unaweza kuchugua sahihi yake.
 5. Chapisha barua hiyo kwenye bahasha ya mteja /mnunuzi na uitume kupitia posta ya mji wake au jina lake. Hakikisha kila kitu ki nadhifu na safi bila makosa ya hijai au anwani ambayo siyo halali.Hakikisha pia kuwa umetuma barua hizo kutoka mji wa wanunuzi au jiji. Hili huifanya imani yako kuwa juu sana.
 6. Fuatilia
  Majuma mawili au matatu baada ya mteja au mnunuzi wako kutumiwa barua, tuma barua yako ya kufuatilia ukirudia toleo hilo. Jumuisha shuhuda nyingi kutoka kwa wateja waliotanbuliwa . Unaweza pia kuhusisha chochote cha kutia moyo………..duka la sandiwichi , kwa mfano unaweza kuhusisha karatasi yenye kidokezo.
 7. Fuatilia tena
  Majuma mawili au matatu baada ya kutuma barua ya pili , tuma habari ya mwisho kuongezea mengi kwa watazamiwa wako kuhusu maendeleo yoyote mapya . Rejelea barua asilia ya kibali iliyotumwa na mteja wako, jumuisha nakala yake na urudie mwito huo kwa ajili ya utekelezwaji wa toleo hilo.
0
No votes yet
Your rating: None