Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kusanya barua ya kibali /ridhaa zile fuatilizi

BARUA YA KIBALI / RIDHAA KWA BIASHARA YAKO
Kwa mpendwa Juma,

Ningependa kukuambia kuhusu mtu fulani aliyesaidia kampuni yetu na mahitaji ya mawasiliano ya tarakilishi / kopyuta ambaye yu tayari kutoa huduma yiyo hiyo nzuri katika biashara yako.

Miunganishi ya takilishi imesambaa pote katika biashara yetu na inazidi kuwepo kwa uhifadhi wa mara kwa mara. Michael Komen, ambaye ni mmiliki wa miunganisho ya kompyuta, kawaida huwa mtaalamu na mwenye akili. Aliokoa kampuni yetu kifedha na hata kiwakati kwa kudhibiti maendeleo mapya nyanjani, ikiwemo teknolojia za gharama za chini zilizo nzuri kwa mahitaji yetu. Miunganisho ya kompyuta ina rekodi nzuri za kupendeza kufuatilia katika kompyuta . Michael, amekuwa mtangulizi katika sehemu hii.

Natoa pendekezo upatane na Michael Komen katika miunganisho ya kompyuta kwa mahitaji ya mawasiliano ya kompyuta.Anaweza kufikiwa kwa (123) 456 -7890

Wako mwaminifu
Karen Kamau
Makamu wa Rais


FUATILIA BARUA YA KIBALI / RIDHAA YA BIASHARA YAKO
Kwa mpendwa Bw. Juma,
Nafuatilia barua kuhusu Karen Kamau. Dada Kamau, amekuwa kwangu kwa miaka mingi na alikuwa mkakamavu kuridhia biashara yangu.
Alionyesha katika barua yake, nipo tayari kukusaidia na mahitaji ya kopyuta katika biashara yako. Nimekuwa nyanjani kwa miaka 20 na nimeshinda tuzo kwa miaka mitano kwenye tuzo za kazi nzuri ya mawasiliano . Ningependa kufanya na wewe kuhusu miunganisho ya kompyuta na jinsi ya kuwa na mabadiliko katika kompyuta yako.
Nimeambatanisha habari kuhusu kampuni yangu ili uipatie. Pia nimeambatanisha shuhuda kutoka kwa watu tuliowasaidia juzi juzi. Bw. Plum, nashukuru kwa wakati wako natazamia kuzungumza nawe karibuni kuhusu mahitaji yako.

Wako mwaminifu
Michael Komen
Rais
Miunganisho ya kompyuta.

0
No votes yet
Your rating: None