Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

  • Sampuli ya ujumbe wa sauti, barua pepe na maelezo ya kibiashara

Sampuli ya ujumbe wa sauti, barua pepe na maelezo ya kibiashara

SAMPULI YA UJUMBE WA SAUTI UNAOTOKA

“Hallo! (umefika kampunini mwako). Saa zetu za kuhudumu ni saa tatu asubuhu hadi saa kumi jioni. Kama ungependa kuacha ujumbe, tafadhali fanya hivyo kwenye toni na tutakufikia. Karibuni”

SAMPULI YA SAHIHI YA BARUA PEPE/MEME

Jina
Mada
Jina la kampuni
Anwani
Mji mkuu, mkoa, nambari rasmi ya posta
Nambari (555)555-555
Faksi (555) 555-555
Barua pepe: jinalako@jinalatovuti.com
Nembo (Logo) ya kampuni

SAMPULI YA MAELEZO YA BIASHARA

Duka la mboga la Joe hutoa huduma kikamilifu katika vyakula vinavyokuzwa kwa ya kisasa za kiteknolojia kwa wanunuzi wake wanazingatia afya.

1
Average: 1 (1 vote)
Your rating: None