Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

 • Sampuli ya mpango wa Teknolojia

Sampuli ya mpango wa Teknolojia

Ninastahili:

 • Kufanya hesabu za kampuni ikiwemo bili na orodha ya wapokea mishahara.
 • Weka rekodi za sasa za wafanyikazi/watumishi.
 • Tengeneza na kuchapisha matangazo.
 • Tuma na kupokea barua meme.
 • Tengeneza na kuboresha tovuti ndogo

Data au programu ya kompyuta inayohitajika:

 • Data ya hesabu.
 • Data ya karatasi panuzi/tandazi.
 • Data ya uchapishaji kwenye sehemu ya kuandiia ya kompyuta.
 • Data ya barua pepe.
 • Data ya utangazaji wa tovuti.

Vifaa vya mitambo ya kompyuta vinavyohitajika:

 • Chombo cha uendeshaji wa shughuli za kompyuta, bao bonye (key board) na kipanya (mouse).
 • Modemu.
 • Chapa ya rangi.

Mipango mingine:

 • Mtoaji wa huduma ya mtandao.
 • Fundi wa data na vifaa vya mitambo ya kompyuta.
 • Utoaji wa wino na karatasi za kuchapisha.

Mafunzo yanayohitajika:

 • Matumizi ya data.
 • Utengenezaji na utunzaji wa kimsingi wa tovuti.
 • Jinsi ya kukuza tovuti yangu.
 • Jinsi ya kutumia mtandao katika mauzo.
0
No votes yet
Your rating: None