Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Iunde na watakuja

Tovuti yako inapobuniwa,wacha watu waijue. Fanya juhudi kuwapata wateja wako na wale unaowatazamia kuizuru.Hapa ndivyo ilivyo.

 • Anzisha injini tafiti ili kuoredhesha tovuti yako:
  Kwa mfano mmliki wa duka la vitabu anaweza kuhakikisha kuwa yeyote anayetafuta duka la vitabu nchini anaweza kupata biashara hiyo..Baadhi ya injini hizo maarufu ni: Goggle, Yahoo na Ananzi.
 • Kusanya habari kutoka kwa wale wanaoizuru tovuti yako kuwawekea sajili kwenye tovuti yako:
  Waulize kama wanataka jarida la barua meme au toleo maalum.Njia za mawasiliano za thamani huwawezesha kupata wateja wa sasa na wale wageni.
  Weka anwani ya tovuti yako kwenye vifaa vilivyochapishwa, kukiwa na mada ya barua, kadi za biashara, sare za kampuni, magari ya kampuni na bili:
 • Weka anwani yako kwenye matangazo ya kasha ya simu yako:
  Andaa shindano kwa wageni wa tovuti-Wasawishi kujisajili kwenye tovuti yako kufikia wakati Fulani na baabaye uwape zawadi.
  Jenga uhusiano na tovuti nyingine halisi: Itanngaze tovuti yako kwa tovuti za wengine. Chapisha “Kuungana mkono” ili kujua mengi.
 • Wasiliana mara kwa mara na wale waliojisajili kwenye tovuti yako:
  Weka anwani yako pamoja na njia za mawasiliano yako ikiwemo sahihi kwa kila barua pepe unayotuma.
1
Average: 1 (1 vote)
Your rating: None