Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Watoaji mali

Pata orodha ya bidhaa/vifaa au watoaji mali kutoka kwa wachuuzi wa bidhaa ndogo ndogo:
Wachuuzi wanaouza vifaa na bidhaa watakusaidia waliwezalo kukusaidia kununua bidhaa zao. Kwa kuanzia unaweza kupata wachuuzi mkubaliane wakupe kati ya siku 30-60 kulipia bidhaa yako.

Pata vitenda kazi (vifaa) kutoka kwa kampuni ya kukodisha:
Kuna biashara nyingi zitakazokukodisha vifaa kwa malipo ya kila mwezi. Hii ni njia sawa kwa mmiliki wa biashara ndogo ndogo badala ya kulipa kwa wakati mmoja.

0
No votes yet
Your rating: None