Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Simamia mapato yako

Mahitaji yaliyoongezeka katika bidhaa yako na huduma zako kawaida humaanisha kuwa huenda yameongeza mapato yalipo ili kuafikia mahitaji. Unastahili kununua vifaa vingi au kukodisha na kulipa wafanyikazi wengi kusimamia mauzo yaliyoongezeka.

Unastahili kutumia pesa kabla hazijarudi kwako ingawa mauzo yanaongezeka. Haya yanakuwa wazi hususan msimu wa biashara. Maduka reja reja kwa mfano hufanya mauzo zaidi wakati wa krismasi na siku kuu nyinginezo pamoja na wale wa kutembeza bidhaa nchini hupata mauzo ya juu kwa kipindi cha siku tisini kwa mwaka mzima.

Biashara inayofaulu hukuza mapato yanayowasaidia kupanga na kuthibiti mabadiliko. Pia unahitaji kuhakikisha kwamba unapata mkopo kupitia akiba yako kwa kusudi hili. Mikopo ya muda mfupi au laini ya mkopo huweza kukufanya upate pesa taslimu unazoziitaji.

0
No votes yet
Your rating: None