Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuajiri watu na kufundisha wafanyikazi

Biashara nyingi ndogo ndogo hazinawiri hadi kwenye kiwango kinachohitajika na zinaweza kulipa wafanyikazi. Hata hivyo, biashara yako inapofika katika kiwango hiki cha kunawiri, utatambua kuwa hakuna cha muhimu kuliko kuajiri na kuweka watu wazuri.

Ajira na uwekaji uliofaulu hutegemea uwezo wako kwa kufanya yafuatayo:

  • Tengeneza masingira mazuri ambapo watu watahisi kuwa na changamoto na kutathminiwa.
  • Lipa malipo ya ushindani na ulipe katika misingi ya utendakazi.
  • Toa nafasi kwa maendeleo ya kitaaluma.
  • Hakikisha mahali pa kazi lazima paende sambamba na wateja unaowahudumia.
0
No votes yet
Your rating: None