Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Mahali Na Nafasi

Kawaida maendeleo yana athari katika mahali ambapo biashara yako inaendeshwa. Biashara nyingi huanzia nyumbani, kwenye gereji au katika miji midogo panapo nafasi yenye bei ya chini, Biashara yako inapokua. Kawaida mahali kama hapa, patakuwa padogo kwa mujibu wa shughuli zako zitakazotekelezwa pale. Kwa mfano au gereji hazijagawanywa kuhudumu kama ghala /mabohari ya vifaa au uchunguzi wa kutembea hapakutengewa matumizi au shughuli ninazotekelezwa pale. Kwa mfano, nyumba nyingi au gereji hazijagawanywa kuhudumu kama ghala / bohari au karakana ya bidhaa au uchuuzi /ubazizi. Iwapo jirani zako wananung’unika. Jaribu kuuliza; Huenda ukatozwa faini, biashara yako ifungwe papo hapo ama pengine upoteze makazi yako kama umekodisha

Si pazuri kwa manufaa ya kunawiri kwa biashara yako. Mahali pazuri karibu na barabara kuu, katikati ya jiji au karibu na mteja mashahuri huweza kufanya biashara yako kuwa ya maana .Biashara inayopiga hatua hunawiri kimapato ambayo yanaweza kuwasaidia kutathmini kiasi cha kuongezeka kwa mauzo. Ili kuafikia upanuzi wa biashara, unastahili kusawazisha bei ya nafasi mpya na kiwango cha ulipaji ushuru. Unaweza kuongeza ili kugharamia bei hizo kwa mujibu wa mahitaji yako.

Changamoto ni kupata nafasi nzuri kwa mahitqaji yako , Je hutaki kulipa kodi kwa nafasi usiyotumia na hutaki kusonga tena kama hupati nafasi yakutosha?

0
No votes yet
Your rating: None