Skip to Secondary Navigation
Skip to Main Content
Katika sehemu hii
- Maswali Ya Kuuliza Benki Au SACCO
Maswali Ya Kuuliza Benki Au SACCO
- Mnalipishaje kwa huduma za kawaida kama akaunti ya akiba?
- Riba yenu kwa akaunti ya akiba ni kiasi gani?
- Kuna kiwango cha pesa ili mtu aweze kufungua akaunti ya hundi au ya akiba na je ninatakiwa kuweka kiwango fulani kila mwezi?
- Je hundi isipofaulu, mnapeana ulinzi. Je ada yenu kwa hundi zisipofaulu au hazina fedha za kutosha ni ngapi?
- Mnapatikana wapi na je mnayo matawi mengine ya benki hii karibu? Na masaa yenu ya kufanya kazi ni yapi?
- Ziko wapi huduma za karibu za ATM? Mnatozaje ada ya kutoa pesa?
- Je kadi zenu za ATM zinaweza kutumika kama kadi za kulipia bidhaa?
- Je mnapeana mashauri ya kifedha ya bure?
- Je mnapeana huduma za benki kwa mtandao wa intaneti?
- Je, mnapeana mikopo ya gari au nyumba?