Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuvuna/kuhifadhi

Maharagwe ya asili ya kifaransa huvunwa kabla ya kukomaa vyema. Kuvuna huanza majuma 7 hadi 8 baada ya kupanda. Mazao ni sharti yavunwe kila baada ya siku mbili ama tatu na mazao ni mengi kwa maharagwe yanayomea kwa kuegemea kwa mimea mingine kushinda ile isiyoegemea. Maharaagwe yaliyokauka huvunwa punde tu kunapokuwa na asilimia 80 ya maharagwe yaliyokomaa na kubadilisha rangi hadi hudhurungi. Kuna aina ambazo hupasuka. Kwa kawaida mimea yota huvutwa kisha kukaushwahadi yawe tayari kwa kuyagongagonga. Baada ya kuyagongagonga, tena yanakaushwa kwa takriban asilimia 12 ya unyevu ili kuzuia matatizo ya uhifadhi.

Mitindo ya wakulima ambayo huwa na matokeo bora:
Ukaushaji wa maharagwe kabla ya kuyahifadhi ni muhimu. Pia kabla ya kuhifadhi, changanya mahabagwe na

  • Jivu ama mchanganyiko wa jivu na pilipili
  • Madini ya diatomoite
  • Hifadhi maharagwe yaliyokauka kabisa ndani ya mkebe uliofunikwa kama vile ndoo ya chuma ama plastiki iliyo na kifuniko huku ukiangalia mara kwa mara kuhakikisha kuwa wdudu hawajavamia.
0
No votes yet
Your rating: None