Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Utunzi wa mimea

Hitaji la kwanza muhimu kwa kunde ni unyevu. Ni lazima zinyunyuziwe wakati ambapo kuna kiangazi. Pia udhibiti wa magugu kama mimea ingali change ni muhimu ili kupunguza ukosefu wa madini muhimu. Hata hivyo, kunde hukua kwa haraka na hitaji la kupalilia hupungua punde kunde zikishamea. Kulima kwa juu juu kunahimizwa ili kuzuia kuharibika kwa mizizi. Mikakati mizuri ya kupanda mimea tofauti kwa misimu tofauti inahitajika kutumika. Ili uwe na mimea ya kiwango kizuri, ni sharti utumie vigingi kwa mimea hiyo.

0
No votes yet
Your rating: None