Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Uhifadhi Wa Rekodi Za Ngo'mbe

Rekodi nzuri ni msingi wa ujenzi wa kufaulu kwa biashara ya nyama /maziwa ni zinasaidia pakumbwa katika ukauji wa kiwanda cha nyama/maziwa katika nchi yoyote.

Kwa jumla,umuhimu wa kuweka rekodi nzuri kunaumjuisha:

 • Husaidia katika usimamizi bora wa ngo’mbe
 • Huongeza hali ya kupata malipo mazuri kwa bidhaa.
 • Huwezesha ukadiria mifugo wanaoweza kuchanguliwa.
 • Kuongeza thamani ya mifugo
 • Hudhibiti uzalishaji baina ya mifuugo yenye uhusiano wa karibu na husaidia katika kupanga uzalishaji.
 • Husaidia kuuamifugo wasio na manufaa
 • Kukadiria mapato na hasara
 • Husaidia katika uchanguzi
 • Huwezesha kupatikana kwa mikopo
 • Kuleta mabadiliko kwenye leba
 • Husaidia kudhibiti magonjwa.
 • Husaidia kupanga na kusimamia lishe.
0
No votes yet
Your rating: None