Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Rekodi Za Uzalishaji

Rekodi hizi huwa za manufaa unapokadiria matokeo ya mifugo na pia unapotahiminiwa biashara yako.Rekodi hii ni ile ya uzaazi kumpatia mkulima faida ya moja bila kusahau faida isiyo ya moja kwa moja kwa kutumia ndume kutoka vituo vya kupachika mifugo mamba kwa kutumia tekinologia.

Uchanguzi wa mbari ya mifugo itawezekana tu ikiwa nammbari za uzazi za ndama wa kike zitapatikana.kwa wakati huu wakulima wengi barani afrika wanaagiza mbegu za uzazi za ndume wa mbari iliyofanyiwa uchunguzi kutoka kwa nchizilizoko magharibi mwa Uropa, Marekani Kaskazini,New Zealand na Australia ili kuboresha mifugo wao. Hii haingewezekana ikiwa nchi hizo hazingekuwa na uwekaji mzuri wa rekodi reekodi za uzazi husaidia pakunbwa wakati wa kuchangua ndume kwa huduma za uzalishaji mifugo ukitumia Tekinologia na hupunguza pakumbwa bei ya kuagiza mbegu za kotoka nga’mbo ambaz kwa kawaida huwa bei ghali.

Hata hivyo rekodi huwa za manufaa zinapotumiwa mara kwa mara,kwa uzalishaji wa maziwa rekodi muhimu ni:

  • Mapato ya kila siku ya maziwa.
  • Kilichomo ndani ya maziwa (mafuta na protini)
  • Muda wa kunyonyesha
  • Maziwa yanayolishwa ndama.
  • Maziwa yalitumia nyumbani
  • Maziwa yaliyouzwa
  • Maziwa yaliyoharibika

 

0
No votes yet
Your rating: None