Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Rekodi Za Lishe

Hizi zinafaa kuonyesha kiwango cha lishe kilichopeana na aina ya lishe.

Rekodi za lishe zinafaa kutumia san asana kwa usimamizi wa siku baada ya siku,kutothmini ushamizi wa lishe na kupanga mambo ya siku za usoni.maamuzi ya ushavizi wa siku baada ya siku ambayo yanafaa kufanywa ni kama,ni ngo’mbewapi wanaohitaji concentrates na ni kiasi kipi,ngo’mbe wanaofaa kuuliwa na ni kwa nini na kadharika.

Kwa hivyo rekodi kwenye mihimu ni:

  • Lishe iliyokokwenye shamba
  • Kiasi kilichotumika
  • Madini
  • Mabaki ya lishe (ikiwezeka kila ng’ombe na kila aina ya lishe)
  • Concentrates
  • Lishe iliyoharibika.
0
No votes yet
Your rating: None