Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Rekodi Za Afya

Rekodi za afya huhitajika ili kufanya chanjo kwa wakati unaofaa na kuzuia majango kama mkurupuko wa mguu na mdomo. Hupatiana habari kuhusu hali ya kiafya ya kila mnyama na mifugo wote.ukiwa tu na rekodi za uzazi na afya ndipo unaweza kufanya maamuzi mazuri nay a busara.

  • Chanjo
  • Josho
  • Tiba
  • Kutoa minyoo
  • Uchanguzi wa chanzo cha kifo.
0
No votes yet
Your rating: None