Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Rekodi Za Matumizi Ya Fedha

Rekodi za matumizi na mapato zinafaa kuhifadhiwa ili kufanya uchanguzi wa fedha na kutathmini biashara. Rekodi hizi ni muhimu kwani humpa mkulima habari kuhusu faida kwenye shamba lake.

Kwa kuongezea humsaidia kufanya maamuzi wakati unaofaa.

Kwa mfano, kama kuna uwezekano wa kuwakuza ndama ukitumia ya kawaida ama yaliyotolewa mafuta?

Itawezekana kujibu maswali haya ikiwa tu rekodi za kutosha zimehifadhiwa.

Kwa kuongezea,kwa minajili ya ushuru na lengo la mkopo rekodi za matumizi ya fedha zinahitajika.

 

 

0
No votes yet
Your rating: None