Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Vitenda kazi na Mada

Tafuta Daktari

Tafuta Daktari anayekufaa kwa mahitaji yako ya afya.

Kumuona Daktari: Orodha ya unachohitaji kujua | Daktari yupi / mtaalamu yupi ninae hitaji?

Ugonjwa na Magonjwa

Jifunze jinsi ya kutambua na kutibu magonjwa na kile unahitajika kufanya wakati wa dharura.

Magonjwa ya kawaida | Ni jambo la dharura? | Madawa na Maelezo ya Matibabu | Ikiwa mtu ameumia

Afya ya Uzazi Upangaji familia na Ulezi

Katika sehemu ya Ujauzito na Uzazi utafundishwa kuhusu upangaji wa uzazi, jinsi ya kutambua kama umjamzito, hatua za mimba, umuhimu wa kujitunza vizuri ukiwa mjamzito, utakayo tarajia wakati wa uchungu wa uzazi na kuzaa na vidokezo vya malezi bora.

Kumtunza mtoto wako | Upangaji wa Uzazi | Kujua wakati una mimba | Uangalizi unapokuwa mja mzito | Magonjwa ya Zinaa  |VIDEO: Utunzaji na usaidizi kwa watu walio na virusi vya Ukimwi | VIDEO: Kufichua hali yako ya Ukimwi | VIDEO: Unatambua hali yako ya Ukimwi?

Kuishi Kiafya

Haitachukua muda, kwa kutumia vifaa vilivyomo hapa, utakuwa umechukua hatua ya kula vizuri, kupunguza uzito na kufurahia maisha.

Mazoezi | Kula kiafya – kula vizuri na njia inayofaa | Kupunguza uzito

Meno

Jifunze jinsi ya kutunza meno yako kwa kupiga mswaki na kutumia uzi wa kusafisha meno pamoja na jinsi ya kuweka macho na masikio yako katika afya njema.

Mbinu za kusugua | Meno ya watoto | Jinsi ya kutunza macho yako | Jinsi ya kutunza Uwezo wako wa kusikia

Mfadhaiko, namna ya kukabiliana na hasira na akili sumbufu

Mfadhaiko au msongo wa mambo unaweza athiri yeyote; mwanafunzi, mzazi hata pia mastadi. Jifunze kwa nini kudhibiti mfadhaiko ni muhimu kwa uzima wako.

Mfadhaiko | Matatizo ya kiakili | Dhuluma | Kuthibiti hasira

 

Makala haya yalitayarishwa kwa usaidizi wa AfriAfya, ambao lengo lao ni  kutafuta mbinu za kumia teknologia ya habari na mawasiliano (ICT) katika uimarishaji wa afya ya jamii nchini.

View More