Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kamusi ya Kuweka Akiba

Ifuatayo ni orodha ya maana ya maneno utakayoyapata ukisoma kuhusu kuweka akiba.

Akaunti ya muda: Hii ni akaunti iliyotengenezwa hususan kwa kiwango cha muda fulani ili iweze kupata faida kwa kiwango cha haraka kushinda akaunti ya kawaida ya akiba.
 
Ada:  Aidha utapokea ama utalipa ada. Ukiziweka fedha zako katika akaunti ya akiba, utapata faida juu yake. Ukichukua mkopo, basi utalipa ada juu ya huo mkopo. 
 
Tarehe ya ukomavu: Hii ni tarehe ambayo pesa zako zitalipwa
 
Mutual Fund - Hazina ya fedha shirikisha: Kikundi cha wawekezaji hushirikisha pamoja kiwango kikubwa cha pesa. Fedha hizi huwekezwa katika biashara nyingi tofauti za hisa. Jambo moja zuri kuhusu hazina hii ni kuwa iwapo hela zako zimesambaa katika kampuni nyingi, basi utakuwa umezizingira dhidi ya mabadiliko katika bei za hisa za kibinafsi. Hisa fulani katika hazina yenu shirikisha zaweza kwenda chini kwa bei huku nyingine zikipanda bei. Kwa kawaida ni lazima ufanye uwekezaji wa kiwango kidogo kilichoafikiwa lakini haya yanatofautiana shirika moja la uwekezaji hadi lingine. 
 
Principal - Fedha anzilishi: Kiwango cha hela unachoweka kwenye akaunti
 
Rate of Return - Kiwango cha faida fedha unazopata baada ya kuweka akiba muda fulani
 
Akaunti ya akiba: Ni akaunti unayoweka pesa zako. Benki hukulipa faida, au asilimia fulani, kwa fedha unazoweka kwenye akaunti. Haufaidiki sana kwa kuweka pesa zako kwa akauti ya akiba ya kawaida lakini uzuri ni kwamba pesa zako ziko salama na unaweza kuweka kiwango chochote utakacho na ni rahisi kuitoa.    
2.5
Average: 2.5 (2 votes)
Your rating: None