Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Unachohitaji Kukuza Viazi Vitamu

Viazi vitamu hupandwa baina ya latitude 48 centigradi kaskazini na 40 kusini kwenye Ikweta viazi vitamu kupandwa baina ya altitude sufuri hadi kimo cha mita 3000,ukuaji wake kufikia upeo wake kwenye kiwango cha joto cha nyuzi joto 25 centigrai,wakati kiwango chajoto kinapoanguka hadi nyuzi joto 12 centigradi ama kuzidi nyuzi joto 35 centigradi,ukuaji wake huchukua muda mrefu.

Viazi vitamu ni mmea ambao unapenda jua; hata hivyo unaweza kuhimili upungufu wa miale ya jua kati ya asilimia 30 hadi 50,na humea vyema kukiwepo na mvua iliyosambaa nyema mwaka mzima ya kati milimita 600 hadi 1600 wakati wa msimu wa upanzi,hali ya anga ya kiangazi husaidia kuumbika kwa mzizi,viazi vitamini mmea ambao unaweza kustahimili hali ya kiangazi.hata hivyo hauwezi kuhimili vipindi virefu vya ukame;mazao hupunguka kwa kwa kiasi kikubwa ikiwa ukame utatokea wakati wa upanzi ama wakati mizizi inapokua.

Utunzaji wa hali ya halisia ya mchanga ndilo jambo la muhimu katika kudhibiti maji kwa mimea inayotengemea mvua.Mbolea halisi ikiwekwa kwenye mchanga itasaidia kuhifadhi maji mengi na kuwa na unyevenyevu kwa muda mrefu.Majani yaliyokauka yakiwekwa juu ya ardhi pia husaidia kuzuia ardhi kupoteza maji na hufanya kiasi cha joto kwenye ardhi kuwa kadiri. Pia huzuia, ardhi kuwa mgumu na huwezesha maji kuingia taratibu kwenye mchanga mvua inaponyesha.kupalilia pia ni muhimu, kwa sababu magugu na viazi vitamu hung’ang’ania maji na hii hufanya ardhi kukauka haraka. Magugu yaliyong’olewa yanaweza kuwachwa juu ya ardhi kusaidia kuhifadhi maji na rotuba kwenye ardhi mahali kunapopatikana huduma za unyunyizaji maji, maswala kadhaa yanafaa kuzingatiwa katika kudhibiti unyunyizaji wa maji;

  • Lengo ni kuweka hali ya unyevunyevu kwenye ardhi katika kiwango kimoja.Kwa jumla, unyunyizaji maji unaotumia maji machache hupendelewa kuliko unaotumia maji mengi.
  • Maji ya kutosha yanafaa kumwangwa ili kueta unyenyevu katika sehemu ya mzizi bila kusababisha maji kuingia kwa undani,zaidi ya uharibifu wa maji,unyunyizaji wa maji kupita kiasi unaweza kufanya ardhi na madini ilhalikuchanganyika kwa maji yanapatikana ndani ya ardhi na vijito na madini,ambayo yanaweza kuwa sumu kwa binadamu.
  • Ardhi yenye changarawe inahitaji unyunyizaji mwingi wa maji kuliko ardhi ya kawaida ama yenye mbolea halisia.ardhi nyepesi haihitaji maji kuvitia unyevunyevu na ina hatari ya kuingiwa maji vitamu huhitaji mengi wakati hali ya anga ni shwari, kuna joto na /ama upepo kuliko wakati kuna mawingu mengi.

Mmea huu ukaweza kupandwa kwenye ardhi tofauti tofauti, lakini ardhi inayopitisha maji vizuri na yenye rutuba ya kutosha ndiyo bora.Viazi vitamu haviwezi kuhimili maji mengi kwenye ardhi na kwa kawaida hupandwa vilimani.

Mafuriko muda mfupi kabla ya kuvuna yanaweza kusababisha mizizi kuoza ndani ya ardhi ama wakati wa kuvihidhi. Kwa kawaida PH ya ardhi ya upanzi wa viazi vitamu ni 5.6-6.6, hata hivyo huumea vyema kwenye ardhi iliyoko na kiwango cha ph cha chini kwa mfano, 4.2. Viazi havimei vizuri kwa ardhi yenye Alkalini ama chumvi nyingi.Viazi vitamu humea vizuri na huzaa mzizi iliyoumbika vizuri katika ardhi iliyotayarishwa vizuri.

Ardhi nzuri ama utayarishaji wa ardhi unahusisha utowaji na uwekaji wa mabaki ya mimea yoyote inayoweza shindana na mmea wa viazi vitamu au ulimaji kwa kutumia mikono au mashine.

Kulima kunalenga kupindua ardhi ya juu kulengeza ardhi nguvu iliyo chini,ili kupata mwinuko wa kutengeneza kulima ambao hautaitilafiana na ukuaji wa mzizi.Hili linaweza kutimitika kwa kulima ukitia maanani hali ya ardhi.Maganda ya mimea ,mbolea aina lime,gypsume ama rock phosphate inaweza kuwekwa juu ya ardhi kuchanganywa ndani ya ardhi ili kuifanya ardhi iwe uyepesi ili kuongeza kuwa ambayo husaidia katika kuumbika kwa viumbe vidogo vidogo ardhini.

Baada ya kulima, vilima vidogo vidogo hutengenezwa.
Ardhi, miinuko hupendelewa na wakulima ambao hutumia majembe, katika sehemu zingine,ardhi pana iliyoinuliwa hutumiwa kwenye ardhi iliyopitisha maji mazuri,upanzi unaweza kufanywa kwenye ardhi tambarare.

Vilima vinafaa kujengwa sambamba kwenye ardhi iliyoinuka ili kuyatumia vyema maji ya mvua na kupunguza mmonyonyoko wa udongo .Vilima hivi kwa kawaida huwa na kimo cha centimita 30 hadi 45,lakini sehemu unyevunyevu Mwingi kimo cha vilima hivi huwa juu zaidi na centimita 90 hadi 120 kutoka kwa kila kilima.

0
No votes yet
Your rating: None

Sweet potatoes planted between altitude zero up to the height of 3000 meters.
From: Yeast Infection Review

»