Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuzalisha Na Upanzi Wa Viazi Vitamu

Ikiwa hakuna msimu wa kiangazi ,viazi vitamu vinaweza kupandwa wakwtiwowote.katika sehemu msimu wa kiangazi ni jambo la busara kupanda wakati wa msimu wa mvua.Viazi vitamu hupandwa karibu na mwisho wa msimu wa mvua ikiwa ulikuwa mrefu na kwenye mvua mingi.

Viazi vitamu hupandwa kwa kutumia vipande vya mmea huu,ama mizizi yake.
Utumizi wa vipande vya mmea wa viazi vitamu, mkulima anaweza kupata vipande hivi kutoka kwa mmea uliokoma muda mfupi kabla ama baada tu ya kuvuna mizizi yake.vipande hivi aidha hutumiwa kudhibiti shamba ama kupandwa msimu wa upanzi unaofuata, yafuatayo ni mambo kadhaa yanayodhuru mazao unapotumia vipande vya mmea wa viazi vitamu:

Unafaa kuwa mwangalifu unapochagua vipande vya viazi vitamu “visafi” vya kupanda hii inamaanisha ya kwamba unafaa kuchagua vipande ambavyo havina wadudu, mchanga au dalili zozote za virusi ama magonjwa

  • Kipande cha juu cha mmea wa viazi vitamu ni bora kuliko cha katikati ama cha chini.hii sehemu sio rahisi kubeba wadudu au viini vya magonjwa na humea kwa haraka ukilinganishwa na vipande hivi vingine. Kwa mimea yenye urefu mkumbwa, kipande cha pili au cha tatu kinakubalika.Saa zingine kipande cha pili ni bora kuliko cha ncha.kama mmea ulikuwa kwa haraka mpaka kipande hakikuwa kimekomaa katika sehemu ya ncha.
  • Urefu wa kipande sio muhimu kuliko nambari ya nodi,kwa kawaida urefu huwa centimita 20 hadi 40 na nodi 5 hadi 8.hali ya ardhi pia inaweza kudhuru uhusiano kati ya urefu wa kipande na ukuaji wake.Wakulima wanafaa kutothamini na kubaini urefu gani ndio bora. Kwa kawaida theluthi moja hadi theluthi mbili za kipande huzikwa. Nodi 2 hadi 3 ama hata nodi 8 huwekwa ndani ya ardhi.
  • Kuchelewa baina ya kukata na kupanda kunaweza kudhuru mazao ukitia maanani hali ya uwekaji wa vipande vya mmea huu. Kuhifadhi vipande hivi kwa mizizi kwenye nodi. Uhifadhi wa muda mrefu unaweza kudhuru ukuaji wake kwa kumaliza uwezo wa kipande kuhifadhi chakula. kupunguza hasara, matawi hufaa kung’olewa kutoka kwa sehemu ya kipande na bandali za vipande mmea wa viazi vitamu hufungwa ndani ya nguo ama gunia lenye unyevunyevu na kuwekwa katika sehemu iliotulia mabli na upepo.Ikiwa mzizi itajitokeza wakati wa kuhifadhiwa vinafaa kupandwa kwa uangalifu ili kupunguza uharibifu wa mzizi.
  • Kama vipande vya kupandwa kuwepo kwenye multiplication plot kabla ya kupandwa, panda vippande hivi huku ukikipa kila kiapnde angalau nafsi ya centimita 15 mara 20. Vipande vya kukatwa tayari kuwa upanzi vinaweza kuwa tayari baada ya siku 45.
2
Average: 2 (1 vote)
Your rating: None