Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kudhoofika Kwa Mbegu Ya Kupanda

Vitamu vikirejelewa kupandwa kwa vizazi kadhaa, kudidimia kwa mazao huanza kuonekana. Hii ni kwa sababu ya ongezeko la virusi, vingi vyao ambavyo havionyeshi dalili zozote. Hii mara kwa mara hutoa ishara ya kwamba aina mpya(inayobeba virusi vichache) inazaa zaidi ya aina za kienyeji, ukweli wa mambo ni ya kwamba aina hii mpya haitakuwa bora zaidi baada ya mwaka mmoja ama miwili wakati itakapovamiwa na virusi. Virusi vinaweza kutolewa kwa kutumia tiba ya moto na meristem culture (kutoka kwa vyuo vya kufanyia utafiti). Matokeo yake ni kwamba mazao yake huongezeka kutoka asilimia 20 hadi asilimia 200, kwa mimea na mizizi kulingana na uvamizi wa virusi halisi. Mazao ya hali ya juu yanaweza kuendelezwa kwa miaka kadhaa kwenye shamba kabla ya ongezeko la virusi.

0
No votes yet
Your rating: None