Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Mbinu Za Upanzi

Baada ya vilima kujengwa, vipande vya mmea wa viazi vitamu hupandwa kwa kuzika sehemu ya chini ya kipande ndani ya sehemu ya juu ya kilima hiki. Shimo linaweza kutengenezwa kwa kutumia kijiti ama mkono na ardhi kufinywa kwa upole sehemu iliyopandwa kipande cha viazi mitamu. Shina huwekwa kwenye ardhi ikiwa imeegemea upande mmoja. Baadhi ya wafanya kazi wanadai ya kwamba vipande visipopandwa sambamba na vilima hivi hutoa mazao mengi ukilinganisha na vipande vilivyopandwa sambamba na vilima hivi.

Katika upanzi wa viazi vitamu ukitumia vilima virefu vyembamba ni kawaida kuwacha nafasi ya baina centimita 90 hadi 120 na kwa mlolongo nafasi huwa ni centimita 20 hadi 30 (mimea 3 hadi 5 kwa kila mita). Kwa jumla iwepo mimea itakuwa mimgi mahali pamoja mazao ya kila mmea hayana budi kupunguka lakini yataongozeka kwa kila ekari.nafasi kidogo kidogo hutumiwa wakati wa msimu mfupi wa upanzi na nafasi kubwa kubwa hupendelewa wakati soko linahitajika mizizi mikunbwa.
Kwa miinuka ukubwa na nafasi kutoka kila mlima hutegemewa hali ya ardhi.inaweza kuwa centimita 75 hadi 200 kutoka kwa kila mlima na vipande kadhaa vinaweza kupandwa katika kila mlima.

Baadhi ya wakulima hupanda viwili katika kila, mwinuko lakini hakuna ushahidi unaonyesha jambo hili ni la faida.imeripotiwa ya kwamba kipande kimoja huzaa mzizi mikubwa kwa wingi.

0
No votes yet
Your rating: None