Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Aina Ya Viazi Vitamu Vinavyokuzwa Kenya

Wakulima hupanda mchanganyiko wa aina tofauti tofauti za viazi vitamu kulingana na mazao, kukomaa, manufaa ya upishi wake na kuhimili wadudu. Mkakati huu hupunguza hatari ya kutopata mazao kwani aina tofauti zina tabia tofauti tofauti muhimu.
Aina za viazi vitamu zinazopandwa kaskazini-mashariki mwa Uganda zimewakilisha katika

Aina zinazokuzwa Kenya:
 

"SPK 013" Magharibi mwa kenya na sehemu za ziwa
"SPK 004" Sehemu nyingi za nchi
"Kemb 20"  
"Kemb 23" Sehemu ya kati na pwani
"Kemb10" Sehemu nyingi nchini
"KSP20" Hufanya vizuri sehemu kavu
"KSP11" Hufanya vizuri sehemu kavu
"Simama"  
"Japaneese"  
"Mugande"  
"Muibai"  
"Ex-Diani" Sehemu ya kati na pwani
"Mafuta" Nzuri kwa majani ya wanyama. Sehemu zote za nchi
"CIP 420009" Hufanya vizuri sehemu kavu

 

0
No votes yet
Your rating: None