Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Utumizi wa mizizi

Mizizi ya viazi vitamu hutumiwa wakati kuna upunngufu wa vipande vya mmea huu ama hali ya wadudu ama huenea kwa magonjwa kuko juu na vipande vichache vyenye afya vilivyobakia na wadudu. Mzizi inaweza pia kutumiwa kwa kilimo kinachotumia mashine, kwani miche inayojitokeza inaweza kuvunwa na kutumia mashine kutoka ardhi. Mzizi yenye afya inafaa kuchaguliwa kutoka kwa mimea inayotoa mazao mengi.

Mzizi hii hupandwa pamoja kwa karibu mbali na mimea mingne ya viazi vitamu.mzizi hufunikwa na centimita 3 za mchanga na kufunikwa na vipande na majani yaliyokauka ya mahindi ama ngano ili kusaidia kuhifadhi unyevunyevu. Mimea hii midogo modogo ikimea kufikia urefu wa kutosha, hukatwa karibu na sehemu za chini nakupandwa shambani.

0
No votes yet
Your rating: None