Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Ili Kupata Vipande Vingi

Ili kupata vipande vingi, toa ncha 20 ili iweze kutoa vipande vingi. Uzalishaji wa mbegu kwa haraka: wakati vipande vingi vinapohitajika, uzalizhaji wa haraka unaweza kufanywa. Ingawaje umuhimu wa jambo hili haujapata kutambulika pakubwa na wakulima wa viazi vitamu,inaweza kuwa njia rahisi ya kuzalisha vipande vingi vya upanzi mbinu hii kuhusisha.

  • Vipande vya kama centimita 30 hukatwa kutoka kwa aidha mimea iliyokomaa ama miche ya utizizi. Hii baadaye hukatwa na kuwa kipande kimoja chenye nodi na jani. Ncha ya mmea hutupwa.
  • Ardhi hutayarishwa kwa kuchanganisha udongo wenye rutuba na jivu. Kipande chenye Nodi moja hupandwa huku sehemu ya jani ikiwa imesimama wima.
  • Ardhi inafaa kumwagiwa maji mara kwa mara na kuzuiwa kukauka wakati wa wiki ya kwanza ya upanzi.
  • Baada ya wiki mbili, wakati miche imetoa mizizi ya kutosha, inafaa kuhamishwa na kupandwa shambani. Miche hii inafaa kutolewa kutoka kwenye ardhi kwa uangalifu ili kuzuia kuharibika kwa mizizi. Uhamishaji na kupandwa upya unafaa kufanyawa alasiri kuzuia kupoteza maji kupoteza maji mengi na kukauka.
0
No votes yet
Your rating: None