Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Uko Tayari Kumiliki Nyumba?

Uko tayari kumiliki nyumba? Jibu maswali yafuatayo ili ujue:

  1. Unafurahishwa na kupanga nyumba?
  2. Una mapato imara?
  3. Unalipa kodi na bili zako kwa wakati unaofaa?
  4. Unaweza kufuatilia bajeti vilivyo?
  5. Historia yako ya mkopo ni nzuri?
  6. Una mpango wa kuishi pale ulipo miaka kadha ijayo?
  7. Una akiba ya kutosha kulipia sehemu ya bei ya rasilmali na ada za ununuzi wa rasilmali?
  8. Unaweza kupata msaada kutoka kwa familia, serkali au mkopo wa benki?
Ukijibu ndio kwa maswali yaliyozidi 6, basi uko tayari kuwa mmiliki wa nyumba yako. Tumia sehemu hii kujifundisha jinsi kununua nyumba kunavyoweza kukufanya mwekezaji hodari. Kuwa na pesa nyingi kunamaanisha kwamba unahiari ya kufanya mambo mengi.

Kuna tofauti gani kati ya kununua na kupanga?
0
No votes yet
Your rating: None