Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kupunguziwa ushuru

Ikiwa mapato yako ya kila mwezi ni chini ya ksh. 10,100 kwa mwezi, hautakikani kulipa ushuru nchini Kenya.

 

Naweza rejeshewa malipo ya ushuru kwa matumizi gani?
Unaruhusiwa kupata kiwango fulani cha kipunguzo cha ushuru kwa:

  • Kuchangia katika malipo ya uzeeni au kustaafu.
  • Gharama ya matibabu {utahitaji risiti na stakabadhi nyinginezo}
  • Kutoa kichango kwa mashirika ya kutoa usaidizi (donation).
  • Matumizi ya gari kama unatumia gari lako kwa ajili ya usafiri kazini. unastahili kuwa na kitabu cha rekodi za matumizi kinachoonyesha unapotumia gari lako kwa ajili ya biashara, rekodi za hatua zilizopigwa kile gari lako linaonyesha kwenye mita yake ya mnamo tarehe 30 mwezi Juni { siku ya mwisho ya ulipaji ushuru kwa mwaka}
  • Kama unafanyia nyumbani, unaweza kutoa kutoa pesa fulani kwa matumizi ya kompyuta yako ya nyumbani, matumizi ya simu na gharama nyinginezo zinazohusiana na kazi.

 

0
No votes yet
Your rating: None