Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Faida za Kumiliki Nyumba Yako

Ikiwa uko tayari kumiliki nyumba yako, unaweza tarajia faida zifuatazo:

  • Kila mwezi utalipa kiasi sawa cha pesa. Ukichagua malipo ya kiasi kisichobadilika (fixed-rate mortgage), malipo yako yatakuwa sawa hata baada ya miaka 30 (lakini riba ya malipo inaweza kuongezeka). Hata hivyo, tajiri mwenye nyumba anaweza kuongeza kodi na ikiwa unahama mara kwa mara, itakuwa vigumu kupata nyumba ya kukodesha ya bei ya chini.
  • Itakuwa yako mwishoni! Uzuri ni kwamba utakuwa na mahali pako binafsi.Utakuwa na mahali pa kulelea watoto, jumuika na majirani, hata unaweza kuirithisha watoto wako na kupatia vizazi vyako usalama.
  • Ni uwekezaji dhabiti: Ukiwa mmiliki wa nyumba, una uwezo wa kulipia mambo ya dharura yatayokupata. Kumiliki nyumba ni njia nzuri ya kuwa na usalama wa kifedha.
0
No votes yet
Your rating: None