Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Gharama ya Kununua Nyumba

Ninahitaji kiasi kipi cha pesa ili ninunue nyumba?
Itachukua muda mrefu kulipia nyumba yako, lakini hizi ni gharama utakazohitaji kulipia papo hapo.
  1. Deposit - Pesa anzilishi: Hii ni asilimia fulani ya bei ya nyumba yako. Unalipa hizi pesa unapoamua kununua nyumba. 
  2. Gharama za ubadilishaji wa stakabadhi: Kando na bei halisi ya ununuzi wa nyumba, utalazimika kulipa bei ya ubadilishaji wa stakabadhi. Ni lazima ulipe hii gharama kabla stakabadhi muhimu za umiliki wa nyumba hazijaandikwa kwa jina lako.
0
No votes yet
Your rating: None