KenyaBadilisha
Ni gharama zipi zingine ambazo pia ninastahili kutilia maanani?
Ni hakika kuwa malipo ya mkopo wa nyumba ndio yatakayokuwa ya kipa umbele. Lakini usisahau kuhusu malipo ya kisheria. Gharama zako za mwisho zitazingatia hayo malipo, lakini chunga usisahau mambo kama ushuru na bima. Huwezifahamu kwa hakika kila kitu kitagharimu pesa ngapi, lakini ni muhimu kujiandaa ili uweke akiba ya kutosha.