Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Vitenda kazi na Mada

Shule

Ikiwa mtoto wako ndio anajiunga na shule mara ya kwanza au tayari ashajiandikisha, kitengo cha Shule katika Mzinga kitakusaidia kufanya uamuzi halisi kuhusu elimu ya mtoto wako.

Tayarisha mtoto wako kwenda shuleUsaidizi wa zoezi la nyumbani | Chaguo la shule|Elimu kwa Wasichana

Elimu Spesheli

Tumia sehemu ya Ulemavu wa Kimasomo kukusaidia kuamua kama mtoto wako anaulemavu wa kusoma na nini unachoweza kufanya ikiwa ana hii shida.

Ni zipi baadhi ya ishara za ulemavu wa masomo | Utafanya nini kama unadhani mtoto wako ana ulemavu wa masomo?

Masomo ya juu

Wewe au mwanao, mpo tayari kujiunga na chuo kikuu? Kitengo cha Chuo Kikuu katika Mzinga kinakupatia habari kuhusu kusomea shahada ya chuo kikuu.

Kuchagua pahali pa kusomea | Kupata habari na ushauri | Kulipia masomo ya juu | Kufanya mitihani ya kujiunga na vyuo vya nchi za ng’ambo

 

View More