Ni utaratibu upi unaofuatwa katika kutafuta cheti cha kuzaliwa?
- Unahitaji kuchukua fomu kutoka katika nyumba ya sheria na kuijaza.
- Unapaswa kuwa na nakala ya kutaarafu kutoka kwa hospitali uliyozaliawa ikiwa mama alijifungulia hospitalini.
- Ikiwa wana zaidi ya miaka 18 wanapaswa kuwa na nakala ya kitambulisho cha kitaifa.
- Unahitajika kulipa kiasi cha Ksh 50 hadi 150 kugharamia mahitaji yaliyotajwa.
- Nakala za vitambulisho vya wazazi.
- Ikiwa wazazi wamefariki unapaswa kutoa nakala ya cheti cha kifo.