Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Dhamana

Msingi wa dhamana
Inaweza saidia ukifiria dhamana kama noti ya kudai I.O.U. Ukinunua dhamana, unakopesha pesa zako kwa serekali, kampuni ama mtu aliyetoa dhamana. Kwa pesa umekopesha, utakuwa ukichukua mazao au faida. Hatimaye, dhamana yako ikikomaa, kumaanisha utapata pesa zako pamoja na faida. Kiwango cha faida kinaweza badilika baada ya muda. Kwa mfano, kiwango cha faida kikipanda, bei ya dhamana inashuka. Dhamana yako ikiwa inachukua muda mrefu kukomaa, ndio zaidi iko hatarini.

Dhamana inaweza “kuitwa” kumaanisha kampuni au serikali ambayo iliuza yaweza kuinunua kabla haijakomaa. Hii si jambo mbaya vile. Wakati mwingine unaweza pata pesa nzuri hii ikitokea.

Kwa nini utumie dhamana ?
Ulijifunza kuhusu upanuzi katika sehemu ya hisa. Kuwekeza dhamana ni njia nzuri ya kufanya hivi. Unapunguza chanzo cha hatari kwa kuweka pesa zako katika maeneo tofauti.

Haya hapa baadhi ya faida.

  • Zuia hatari: Ni kweli hakuna uwekezaji uliyo 100% bila hatari, lakini dhamana zinaweza karibia.
  • Kwa imara: Huu ni upanuzi. Unaweza kuweka baadhi ya pesa zako katika dhamana, na zingine ujaribu uwekezaji una hatari.
0
No votes yet
Your rating: None