Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Vitenda kazi na Mada

Pata kazi

Katika sehemu ya Kutafuta Kazi katika Mzinga, unapatiwa maandalizi ya kung’ang’ana na shida za ulimwengu wa kazi kwa kupatiwa vidokezo vya kuandika wasifu kazi (CV), kuvutia wakati wa mahojiano ya kazi na jinsi ya kupata kazi unayoitaka.

Jinsi ya kutuma ombi la kazi | Mfumo wa Mawasiliano | Kuanza kazi mpya

Kituo cha mfanyi biashara

Tumia Kituo cha Mjasiriamali cha Mzinga kujifunza yote kuhusu kuanzisha na kukuza biashara, jinsi ya kuwekeza na kupanua biashara yako, na jinsi ya kushughulikia mambo ya kila siku ya biashara yako.

Anzisha bishiara yakoKuza Biashara Yako | Pata pesa zaidi | Dhibiti biashara yako

Mafunzo ya kazi

Unafanya kazi usioupenda? Unahitaji pesa zaidi? Uko tayari kupandishwa cheo? Ungetaka kurudi shule? Unafikiria kuanzisha biashara yako binafsi?

Anza sasa na mafunzo ya kazi katika Mzinga.

Ratibu/Panga Kazi yako au amali yako | Tengeneza pesa nyingi

 

View More