Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuchagua kizazi

 

Hii pia mara kwa mara hutegemea ni nini kinachopatikana kuliko kitu kingine chochote.Vjizazi vya kienyeji huhimili hali za nyumbani na hii huwafanya kuhimili magonjwa na vimelea kuliko vizazi vya kigeni.Hata hivyo kama  endelezo kwa  utoaji wa maziwa na nyama unatamaniwa badala ya ule unaotolewa na vizazi vya kienyeji basi kufuga vizazi vya kigeni ama vile vilivavyozaliwa kwa kuchanganya mbegu ya kienyeji na ya kigeni ili upate tabia ulizokuwa unazitaka kwani ni zoezi lilokubalika.Lakini ikiwa vizazi vya kienyeji  vimechanganywa mbegu na vile vya kigeni mnyana ‘aliyestawishwa’ atahitaji lishe bora na utunzi wa ziada kwa sababu hawezi kuhimili lishe mbovu na magonjwa kama  kizazi cha kienyeji.

 

 

0
No votes yet
Your rating: None