Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Afya

 Wanyama wanaopata mfululizo wa lishe ya hali juu ni vigumu wapatwe na ugonjwa.Kuna mambo mengi yanayoathiri afya ya wanyama wadogo wa kucheuwa,ya muhimu yakiwa ulishaji na usimamizi wa jumla.Mambo mengine  yanajumulisha: 

mkazo wa uzalishaji

rika  ya wanyama 

kizazi

hali ya anga/tabia ya nchi

kuingiliana na wanyama wengine

Kuzuia magonjwa ni bora kuliko kujaribu kuponya wanyama wagonjwa.Utunzaji mzuri wa wanyama na kuelewa magonjwa muhimu yanayoathiri mbuzi na kondoo na kufanya mikakati ya kupunguza hatari ya wanyama kupata ugonjwa.Magonjwa mengi yanaweza kutolewa chanjo na yanajumuisha: Magonjwa kama pulpy kidney,black leg na  ugonjwa wa miguu na midomo Kudumisha makazi safi na machungani hupunguza vimelea na ongezeko la magonjwa na matibabu ya wanyama ya mara kwa mara na dawa za minyoo yatapunguza vimelea na changamoto za magonjwa.

 

 

0
No votes yet
Your rating: None