Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Majukumu ya kawaida

 

Ukiongezea majukumu ya kila siku ya kuwalisha,kuwapa maji,kusafisha na kuangalia afya ya jumla ya wanyama,kuna kazi zingine ambazo lazima zifanywe kila wakati.Kwato za mbuzi na kondoo zinafaa kupunguzwa mara kwa mara.Mara ngapi kwato zinafaa kupunguzwa kutategemea na ardhi inayotumiwa na wanyama.Ardhi ngumu na yenye mawe itamaliza kwato haraka ukilinganisha na malisho.Wanyama wanafaa kuangaliwa ikiwa wana kupe na funza na zozote  zikipatikana zinafaa kutolewa kibinafsi ama kwa kutumia kiua vidiudu kinachofaa kwa usambaaji mbaya.Jeraha lolote lililosababishwa na kupe ama funza yanafaa  kutibiwa na antiseptiki mwafaka.Utoaji minyoo wa mara kwa mara unafaa  kuwa sehemu ya kawaida katika utunzaji wa wanyama wa shamba. 

 

 

0
No votes yet
Your rating: None