Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Viota na mizinga ya nyuki

Kiota cha nyuki kina mfululizo wa masega ya nyuki yaliyo sambamba,kila sega  likiwa na mistari ya nta ndani ya vyumba vya kuhifadhia asali,chavua,ama  vya kukulia viwiliwili vya nyuki.Vyumba hivi vina umbo la pembe sita.Masega haya ni changamani na hutumiwa na nyuki kuwatunza watoto wao,kuhifadhi asali na kumlinda malkia.mzinga ni chombo chochote ambacho  hutolewa kama makaazi kwa nyuki watoao asali.Wazo ni kuwahimiza nyuki kujenga viota vyao kwa njia ambayo ni rahisi kwa mfugaji wa nyuki kudhibiti na kuvuna masega ya asali.Mizinga ya nyuki ienaweza kugawanywa katika makundi matatu –kitamaduni,fremu inayosonga na mzinga wa kisasa wa teknolojia finyu.      

  • Mizinga ya kitamaduni  ni ile ambayo imetengenezwa nchini kwa kutumia vitu tofauti,magogo yenye shimo kwa sehemu ya ndani ama chungu,lakini unapotoa asali,nta ,nyuki wengi huuawa.  
  • Mizinga yenye fremu inayosonga ni njia iliyoendelea ya kufuga nyuki.Hii hutumiwa kuzalisha asali maradufu kila msimu na kupunguza usumbufu kwa koloni ya nyuki.Idadi kubwa nyuki inaweza kuwekwa katika katika mzinga wa aina hii;hifadhi ya asali huwa kwa haraka wakati wa msimu wa maua.  
  • Ili kuunganisha udhibiti na ufanisi wa mavuno katika mzinga wenye fremu inayosonga,na manufaa ya kutokuwa ghali kutoka kwa mizinga ya kitamaduni.Bees wanahimizwa kucjenga masega chini ya mfululizo wa pao za juu.Pao hizi huruhusu  kila sega kubebwa kutoka kwenye mzinga na mfugaji wa nyuki.Mizinga ya teknolojia finyu inaweza kutengenezwa ukitumia raslimali zinazopatikana nyumbani.          

 

3
Average: 3 (1 vote)
Your rating: None