Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kushiriki kwa Jamii katika ufugaji wa nyuki

Ingawaje ufugaji wa nyuki unachukuliwa kuwa shughuli ya mtu binafsi,imeleta wakulima wengi pamoja katika jamii nyingi,kugawana vifaa na kujifunza mengi kutoka kwa matukio yao.Katika baadhi ya vijiji,wafugaji wa nyuki wamekuja pamoja kuunda makundi na vyama.Mafunzo waliojifunza kwa kufanya kazi,pamoja imetumika katika maisha yao.    

 

 

0
No votes yet
Your rating: None