Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Magonjwa ya Kuku

Virusi

Magonjwa ya virusi hayawezi kutibiwa,lakini yanaweza kuzuiwa na kudhibitiwa ikiwa wanyama watachanjwa kabla ya ugonjwa kutokea katika kundi.Ikiwa ugonjwa uko katika kundi,chanjo zinaweza kuongeza ukali wa ugonjwa na hatimaye kusababisha kuuliwa kwa ndege. 

Bakteria

Magonjwa mengi ya bacteria yanaweza kutibiwa ukitumia kiua vijasumu.Ni muhimu kubaini ugonjwa ili uchague kiua vijasumu mwafaka. 

Kupe

Kupe wanaweza kutibiwa na madawa ya kiasili ama ya kisasa.(antihelmintics)

Ukungu

Magonjwa ya ukungu yanaweza kutibiwa na kiua vijasumu.

Magonjwa yanayosababishwa na lishe 

Magonjwa haya husababishwa na lishe mbaya. Ikitegemea na ugonjwa unaweza, kuzuiwa kwa kuchanganyisha chakula kinachofaa na madini vitamini, ama vyakula tofauti toafauti kutoka katika sehemu zinazokuzingira kwa mfano nyasi ya kijani na samadi bichi.

 

 

1.333335
Average: 1.3 (3 votes)
Your rating: None