Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

  • Utoaji wa makao salama kwa ndege wako

Utoaji wa makao salama kwa ndege wako

 Katika kila jamii kuna njia ya kawaida ambayo ndege hupewa makao.Hifadhi njema huwalinda kutona na :

  • Hali mbaya ya hewa
  • Wanyama wanaowinda na  kula nyama
  • Wezi

Makao pia yanafaa kuwatolea kuku mahali pa kutaga mayai.Hii hurahisha upatikanaji wa mayai na huhakikisha ndege hawasumbuliwi.

Kanuni sahili za makao mazuri:

1. Tumia vikapu kwa kujisetiri usiku na mchana kwa vifaranga wadogo ili kupunguza gharama na kazi inayohusishwa.

2. Mara  kwa mara tumia nyenzo  za nyumbapni kupunguza gharama.

3. Tumia nyavu za nyaya kwa madirisha kuwazuia wanyama  wanaowinda na kula nyama.

4. Tayarisha chungu ama kikapu  ambacho kuku wanaweza kutaga mayai na kiweke ndani ya nyumba

5. Weka vitulio vya ndege na viota ndani ya nyumba bila ya kuwafanya kuku kupatwa na baridi.

6. Zingatia mvua kubwa na jua kali unapoweka makao ama nyumba.

7. Mara kwa mara waweke vifaranga wachanga pamoja na mama yao lakini mbali na kuku wengine wakubwa.

8. Hakikisha nyumba zinafikiwa kwa urahisi na ni safi.

 

 

0
No votes yet
Your rating: None