Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Jinsi ya kukuza mchwa

 

1. Chukua chungu chenye shingo fupi kinachoweza kuhimili lieta 10 za maji.

2. Kijaze na samadi ya ng’ombe na majani makavu na nyunyuzia maji kidogo.

3. Kiweke chungu juu chini na mdomo kwenye ardhi. 

4. Baada ya mchana mmoja na usiku mmoja,chungu kitakuwa kimejaa mchwa.

5. Toa mchwa katika chungu mahali ambapo ndege wanaweza kuwala.

 

 

0
No votes yet
Your rating: None