Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kanuni kumi sahili za kuzuia magonjwa katika ndege

  1. Wape kuku lishe jnayofaa na maji safi haswa vifaranga wadogo.
  2. Wajengee mabanda ya kujisetiri dhidi ya upepo na mvua.
  3. Safisha nyumba ya ndege mara kwa mara. 
  4. Ikiwa ni lazima wapatie takataka kavu mara kwa mara.
  5. Usiweke ndege wengi pamoja.
  6. Aina tofauti za ndege kwa mfano kuku,bata mzinga na bata wanafaa kutenganishwa.
  7. Watenganishe vifaranga na ndege wakubwa ila tu kwa mama yao.
  8. Chanja vifaranga  dhidi ya magonjwa muhimu na wachanje mara tena ikikulazimu.Kumbuka ni ndege tu walio na afya  bora wanafaa kuchanjwa.
  9. Watenge ndege wagonjwa-ikiwa matibabu hayapatikani  waue ndege wagonjwa.
  10. Choma ama zika ndege waliouliwa.
2.6875
Average: 2.7 (16 votes)
Your rating: None