Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Vifaa muhimu vya chanjo

 

 

Vifaa vya kutimiwa vinajumusha aproni safi (kijani ama rangi isiyo na mwanga ikiwezekana) (A)Kichupa kidogo cha chanjo (B)kuhifadhiwa kwenye sanduku tulivu (C)sabuni ya kuosha mikono (D)sindano safi (E)sirinji safi (G) na sanduku safi la sinwdano na sirinji (F) 

Sindano na sirinji zinafaa kuchemshwa ndani ya maji kwa dakika 5 na kutulizwa kabla ya kutumiwa tena.Ni muhimu kutibu sirinji safi na siindano kwa makini.Usiguze ncha ya sindano baada ya kusafisha.Weka sindano pole pole kwa sirinji ukishikilia  sindano na sehemu yenye ncha kali ikiangalia juu.Weka kichupa kidogo cha chanjo juu chini na finyilia sindano pole pole kwa kifuniko cha plastiki ama kifuniko cha kichupa.Vuta mpini wa sirinji chini pole pole huku ukinyonya chanjo nje ya kichupa hadi sirinji ijae.Shinikiza mpini wa sirinji hadi ufike kiiwango kinachofaa.Hakikisha ya kwamba hakuna matone ya hewa kwenye sirinji ama sindano.Matone ya hewa yatatoa kiwango kisichofaa kwa kuku.Kawa kawaida sirinji ya mili lita 1 huafikiana na vipimo kumi vya dawa,moja kwa kila ndege kumi waliokomaa.(mchoro.4.18).Hii hutegemea uzani wa ndege na aina ya chanjo,na mbinu way kutoa.Ndege wanapokuwa wakubwa,sindano hutolewa katika misuli ya kifua ama  paja.Kwa kutegemea aina ya chanjo,matone mkya macho yanaweza kutolewa kwa ndege waliokomaa.   

Chanjo zinafaa kutolewa aidha asubuhi na mapema,kabla ya kuwafungulia ndege kutoka nyumba ya kuku ama wakati ndege wa kienyeji wanaweza kushikwa kwa urahisi wakipumzika chini ya miti.Wakati unapowachanja ndege waliokomaa kwa mara ya kwanza,mnapaswa kuwa angalau watu wawili mmoja akishikilia ndege na mwingine akitoa chanjo

 

 

2
Average: 2 (1 vote)
Your rating: None