Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Akiba ya umma ya kustaafu

Hazina ya malipo ya uzeeni au National Social Security Fund - NSSF ni shirika linaloungwa mkono na serikali  linalohudumia watu walioajiriwa kazi. Mtu hutoa asilimia fulani ya pesa kulingana na mapato yake kisha mwajiri anajazia sehemu fulani. Kampuni yoyote ambayo inaajiri zaidi ya watu watano inpaswa kujiandikisha na NSSF na kupeana malipo ya wafanyikazi wake kila mwezi. Punde mwajiri wako anapokuwa mwanachama basi itakulazimu pia wewe ujiandikishe. 

Kujiandikisha, uwe na barua kutoka kwa mwajiri wako pamoja na fomu ya kujiandikisha iliyojazwa ambayo waweza kupata kutoka kwa tovuti ya NSSF. Zipeleke katika afisi iliyokaribu nawe ya NSSF. Nenda pia na kitambulisho chako. Alama za vidole vyako pia zitachukuliwa. Ukishakuwa mwanachama utaendelea kutoa mchango wako hadi ufikishe umri wa miaka 55 ambao ndio umri wa kustaafu ndiposa udai malipo yako.
 
Ukishastaafu unahitaji kutuma ombi la malipo. Ni sharti uwe na nakala ya barua ya kustaafu au cheti cha huduma au barua ya kuachishwa kazi. Iwapo mwanachama atafariki kabla ya umri wa miaka 55, basi warithi wake watafaidika. Iwapo mfu alikuwa ameolewa basi mke au mume wake ndiye anayefaa zaidi, kisha wana ama mtu mwingine yeyote aliye na barua ya utawala. Mrithi lazima aonyeshe stakabadhi zifuatazo;
  • Kitambulisho rasmi cha uanachama cha mfu
  • Nakala au kopi ya kitambulisho cha kitaifa cha mfu (ni lazima iwe safi, inaonekana na iwe katikati ya karatasi ya A4)
  • Nakala iliyotiwa sahihi ya cheti cha kuoana ama ushahidi mwingine wowote iwapo mfu alikuwa katika ndoa.  
  • Cheti rasmi cha wafu cha mwanachama na mrithi yeyote aliyefariki.
Iwapo umeajiriwa na kampuni yako si mwanachama wa NSSF, waweza ukaulizia waajiri wako iwapo ni kusahau ama wana mpango tofauti wa malipo ya uzeeni. Iwapo hawana basi itakufaidi kutafuta hazina ya kibinafsi ya malipo ya uzeeni itakayokufaa.   
 
4
Average: 4 (1 vote)
Your rating: None

Enter the PIXMA iX7000 Inkjet Business Printer that delivers the quality, performance and printing solutions you need for business with ease  if you need the driver printer, you can check at iP6210D printer for  The Lexmark Interpret S405 is a capable multifunction printer with respectable output speed and quality,  if you need the driver printer, you can check at s409 the other The new ipad smaller than normal 2 (or ipad small scale with Retina show, if you need the gadgets info, you can check at Lumia phone ostensibly Six roadsters you can have on your driveway for pocket-money prices if you need the last info about car automotive, you can check at Alpina Biturbo price Kalau dollar naik penghasilan kita juga naik, jadi walaupun harga di pasar naik tidak akan terasa. Trus kalau dollarnya turun; if you need the last info update about technology, you can check at cara domain TLD  Canon PIXMA MX357 could also be a multifunction printer that you’ll use not entirely meant for printing but may be used to scan and replicate your documents if you need more info about geophysics, you can check at canon pixma print excellent photograph papers for uncommon lab-quality prints

»