Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

  • Mipango Ya Elimu

Mipango Ya Elimu

Mipango ya elimu kawaida huwa ni endowment au mali iliyowekwa wakfu. Mpango huu hufanya kazi sambamba na sera ya bima ya maisha; unalipa kidogo kila mwezi na kiasi fulani hulipwa kwako mwishoni mwa kipindi maalum (chochote kuanzia miaka 5-20) malipo yako ya kadri huwekezwa kwa hivyo kiasi cha fedha unazopata zitahusisha kila kitu yakiwemo malipo mengine ya ziada kwenye uwekezaji wa kampuni utakayotia shahi mkataba nayo itakutoza ada ndogo kwa minajili ya kukushughulikia. Na baadaye haya yote yatajumuishwa kwenye malipo yako ya kila mwezi.

Kampuni za bima ya maisha ndizo chemichemi ya mipango ya elimu, ingawa benku au SACCO yako inaweza kutia akiba ya mipango ya elimu au sera iliyobuniwa. Inabidi huzungumza na mashauri wa kifedha huku ukitazamia kupata sera vizuri. Kumbuka iwapo kampuni haichagui uwekezaji wake kwa njia ya busara, huwezi kufaidi ulivyotarajia.

0
No votes yet
Your rating: None